Seventh-day Adventist Church logo North East Tanzania Conference

NETC Big Day

Jumapili, 11 Oktoba 2026

Siku ya kuchangia ujenzi wa ofisi za makao makuu ya NETC.

0Siku
0Saa
0Dakika
0Sekunde
Changia Sasa

Tazama NETC Big Day

Rekodi ya matangazo ya moja kwa moja ya tarehe 11 Oktoba 2026.

NETC Big Day - Matangazo ya Moja kwa Moja · Tazama kwenye YouTube

Mradi wa Makao Makuu

Jengo la ofisi za makao makuu ya NETC liko katika hatua ya umaliziaji. Mchango wako unasaidia kukamilisha kazi iliyobaki ili ofisi zianze kutumika kwa huduma ya injili na utawala wa kanisa.

Ratiba ya Siku

Bonyeza kuona au kuficha ratiba

Jumapili, 11 Oktoba 2026. Saa zimeandikwa kwa mfumo wa Kiswahili, na saa za kawaida ziko chini yake.

01:00 – 01:3007:00 – 07:30
Kuwasili
Wote
01:30 – 03:0007:30 – 09:00
Uimbaji sehemu ya 1
Kwaya ya Mwanga, Kwaya ya Mandaka, Kwaya ya Njoro Family
03:00 – 03:2009:00 – 09:20
Program ya kumpokea mgeni rasmi
Watafuta Njia
03:20 – 03:4009:20 – 09:40
Kusaini kitabu cha wageni na ziara ya eneo la ofisi
S. William (Estate Manager), Injinia Herieli na wageni wote waalikwa
03:40 – 03:5009:40 – 09:50
Uimbaji awamu ya 2
Kwaya ya Kariwa, Kwaya ya Mwanga, Kwaya ya Njoro Family
03:50 – 04:0009:50 – 10:00
Ukaribisho na utambulisho
Pr. A. Katete (Katibu Mkuu NETC)
04:00 – 04:3010:00 – 10:30
Neno la Mungu na maombi
Pr. Jonas Singo (Mkurugenzi wa Huduma Binafsi NTUC)
04:30 – 04:4010:30 – 10:40
Program maalumu ya tukio
Mhazini / Kamati ya Ujenzi
04:40 – 04:5010:40 – 10:50
Wimbo wa kwaya
Kwaya ya Kariwa
04:40 – 05:0010:40 – 11:00
Ukaribisho maalumu wa mgeni rasmi
Pr. L. Mao (Askofu wa Jimbo NETC)
05:00 – 06:0011:00 – 12:00
Balozi John Chagama (Mgeni rasmi)
Hotuba ya mgeni rasmi na changizo
Balozi John Chagama (Mgeni rasmi)
06:00 – 07:0012:00 – 13:00
Mwendelezo wa changizo kwa makundi yote ya waalikwa
Pr. J. Mding'i, Pr. S. Yohana
07:00 – 07:0513:00 – 13:05
Wimbo wa kwaya
Kwaya ya Njoro Family
07:05 – 07:1513:05 – 13:15
Taarifa ya changizo
Eld. (Assistant Treasurer NETC)
07:15 – 07:2513:15 – 13:25
Salamu za shukrani
Eld. E. Kakore (Mwenyekiti, Kamati ya Ujenzi)
07:25 – 07:3513:25 – 13:35
Shukrani za ofisi
Pr. A. Katete (Katibu Mkuu NETC), Eld. M. Reubeni (Mhazini wa Jimbo NETC)
07:35 – 07:4013:35 – 13:40
Ombi la baraka
Pr. (Mchungaji mstaafu, Jimbo la NETC)
07:40 –13:40 –
Chakula
Wote

Waongozaji wa ratiba na protokali: Pr. Jackson Mding'i, Pr. Solomon Yohana, Pr. Nicodemo Ntabindi

Toa kwa Moyo wa Furaha

"Kila mtu atoe kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu."2 Wakorintho 9:7
Benki
NMB
Jina la Akaunti
SEVENTHDAY ADV.CHURCH NETC FUND20
Namba ya Akaunti
40510001767
Benki
CRDB
Jina la Akaunti
SDA CHURCH - NETC BUILDING
Namba ya Akaunti
015C598038800

Ahidi Mchango Wako

Kutuma ahadi hakukatishi pesa. Tumia taarifa za benki hapo juu kutoa mchango wako.